Mtoto wa Mtawala
Mchapishaji
Lantern - George Cleopa Mapunjo
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Mtoto wa Mtawala ni tamthiliya yenye kuonesha jinsi watoto wa viongozi wanavyotumia nafasi za wazazi wao waliopo sehemu za juu kiutawala kunyanyasa na kudhurumu wanaowaongoza. Ni hali inayoonesha kutokuheshimu madaraka na inaleta athari kwa wale wanaowaongoza.
Vitabu vingine vya Mwandishi ni Siri ya Mtoto ajuaye Mama, Pasua Kichwa na Tujipange Watupange? ambavyo ni vya Mashairi na Kiu ya Mabadiliko.