Kiu ya Mabadiliko
Publisher
Lantern - George Cleopa Mapunjo
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 17, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Kiu ya Mabadiliko ni tamthiliya yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao. Ni tamthiliya yenye kuuzindua umma uliogubikwa na giza nene  na hivyo kuhitaji mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii dhidi ya tabaka tawala. Kupitia tamthiliya hii, mimi, wewe, wao na wengine wengi wanaitaji mabadiliko. Tumia nafasi yako kupigania mabadiliko.

Vitabu vingine vya Mwandishi ni Siri ya Mtoto ajuaye Mama, Pasua Kichwa na Tujipange Watupange? ambavyo ni vya Mashairi na Mtoto wa Mtawala.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review