Mtoto wa Mtawala
Publisher
Lantern - George Cleopa Mapunjo
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 17, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Mtoto wa Mtawala ni tamthiliya yenye kuonesha jinsi watoto wa viongozi wanavyotumia nafasi za wazazi wao waliopo sehemu za juu kiutawala kunyanyasa na kudhurumu wanaowaongoza. Ni hali inayoonesha kutokuheshimu madaraka na inaleta athari kwa wale wanaowaongoza.
Vitabu vingine vya Mwandishi ni Siri ya Mtoto ajuaye Mama, Pasua Kichwa na Tujipange Watupange? ambavyo ni vya Mashairi na Kiu ya Mabadiliko.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review