Siri ya Mtoto Ajuaye Mama
Publisher
Lantern - George Cleopa Mapunjo
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Siri ya Mtoto Ajuaye Mama ni tamthiliya inayoonesha matatizo mbalimbali kwenye ndoa zetu. Ni tamthiliya inayobeba uhalisia kuhusiana na baba halali wa watoto wanaozaliwa. Mama ndiye anayejua baba halisi wa mtoto. Na wengi tumetumbukia huko na mwisho wa siku unaambiwa mtoto siyo wako. Wahenga walisema “ Siri ya Mtoto Ajuaye Mama” Na usemi huu ni kweli. Na hata hapo ulipo mambo kama haya yapo.