Sungura Mkaidi
Mchapishaji
Readit Books Ltd
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Sungura mtoto alikuwa hapendi kusikiliza ushauri kutoka kwa wakubwa wake. Vilevile hakuwaheshimu wakubwa. Siku alipoenda kuiba mboga za watu alifukuzwa na mbwa. Je, atanusurika?