
Pambo la Lugha
Mchapishaji
Mbiu Press
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Pambo la Lugha ni mkusanyiko wa mashairi ya Shaaban Robert unaoakisi maisha ya jamii kwa kuangazia nyanja mbalimbali na mabadiliko yake. Diwani hii pendwa imedhihirisha umaarufu na utamu wake kwa kutajwa na kunukuliwa katika majukwaa mbalimbali ya wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili. Pambo la Lugha ni kitabu kilichopambwa si kwa dhamira na ujumbe tu, bali pia kwa mitindo inayovutia jicho la msomaji na kuibua tafakuri za msingi za maisha ya mwanadamu.