Orodha
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 17, 2025

TSh 2,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.

Alipofika umri wa miaka 36 aliamua kubadilisha mtindo wa maisha kwa kuja Tanzaia kuwa Mkuu wa sanaa za Ubunifu katika shule iitwayo International School of Tanganyika, Aidha alianzisha kampuni ya sanaa ya michezo ya kuigiza kwa ajili ya vijana aliyoiita Dar es Salaam Young People's Theatre. Alitunga michezo miwili ya kuigiza iliyotengenezwa na kampuni hiyo inaitwa Vibaka na The list(Orodha)