
Ngoma ya Mianzi
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Mbumi na Chulu wanasimama kidete katika harakati za kuikomboa jamii yao dhidi ya utawala katili wa Wajerumani. Licha ya udogo wa umri wao, vijana hawa wanaleta mabadiliko yasiyomithilika. Visa, mikasa na changamoto zinatawala safari yao. watafanikiwa?