Muujiza wa Vitabu
Mchapishaji
Readit Books Ltd
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Mboni anapenda vitabu. Lakini hajui vitabu vinapotoka. Wanakwenda ziara Tanga kugundua siri ya safari ya vitabu. Je, watagundua vinapotoka vitabu?