
Mtumwa Hadi Siti Binti Saad
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Profesa Emmanuel Mbogo ni Mwandishi wa tamthilia, riwaya na hadithi fupi. Baadhi ya vitabu vyake ni pamoja na: Giza Limeingia, Tone la Mwisho, Watoto Wetu, Morani, Ngoma ya Ng’wanamalundi, Sundiata, Ndoto za Josef, Vipuli vya Figo, Fumo Liongo, Watoto wa Mamantilie, Bustani ya Edeni, Dawa Dhidi ya Magonjwa Yote, Mizungu ya Manabii, Siri za Maisha, Sadaka ya John Okello, Wachawi wa Bongo, Wangari Maathai, Nyota ya Tom Mboya, Malkia Bibi Titi Mohamed na Mondlane & Samora.