
Maisha ya Chuo Kikuu
Mchapishaji
Stoud Grey
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Kitabu hiki kimeandikwa maalum kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza shule ya upili (high school) ambao tayari wanajua ni vyuo na kozi gani ambazo wanakwenda kusoma. Hivyo, kitabu hiki kimelenga kuwapa wanachuo watarajiwa picha halisi ya namna maisha ya chuo kikuu yalivyo na maandalizi wanayotakiwa kuyafanya