
Kujiandaa na Chuo Kikuu
Mchapishaji
Stoud Grey
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
KWA NINI KITABU HIKI?
Ni kitabu ambacho kinaongelea mambo muhimu katika safari yako ya masomo ambayo kwa bahati mbaya hayafundishwi shuleni lakini pia hata nyumbani hatupati muongozo wake. Ni kitabu cha kisasa ambacho kimejikita katika kuleta maarifa na mbinu mbalimbali kwa wanafunzi ambazo huwezi kuzisikia mahali popote zikifundishwa au kusema. Kimezingatia mazingira na wakati uliopo kikitumia mifano halisia ambayo kila mtu anaweza kuihusianisha na yeye mwenyewe.