Kielezo cha Fasili
Mchapishaji
Mbiu Press
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 18, 2025

TSh 2,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Elimu iliyokita mizizi komavu juu ya masuala mbalimbali ya jamii inafafanuliwa katika kazi hii ya Shaaban Robert. Mwandishi anayaelezea  mambo ya jamii kama yalivyo. Si yote ni matamu na si vyote ni machungu ni mchanganyiko wa vyote vinavyoifanya jamii kuitwa jamii. Ungana na Shaaban Robert katika kitabu hiki kilichogusia mambo mengi na ya msingi sana kwa ustawi wa mwanadamu na mazingira yake.