
Jikumbushe Kiswahili Kidato cha Nne
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Mkusanyiko wa maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi 2010 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
Dondoo muhimu za somo la Kiswahili zitakazowasaidia wanafunzi wa kidato cha 3 na 4 katika marudio yao na katika ujibuji wa maswali ya mitihani.
Kamusi ndogo yenye misamiati muhimu ijitokezayo katika somo la Kiswahili.