
Insha na Mashairi
Mchapishaji
Mbiu Press
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Maisha ya binadamu yamejaa changamoto nyingi. Binadamu hana budi kupambana na kutatua changamoto hizo. Katika kitabu hiki msanii anatoa mifano mbalimbali ya changamoto na jinsi ya kupambana nazo. Insha na mashairi vimejaa maadili mbalimbali ambayo binadamu akiyazingatia ataishi maisha yenye furaha na amani tele.