Haki ya Dahlimu
Mchapishaji
Uwaridi
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 17, 2025

TSh 1,400/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

MEJA Nyange Zimpopo anafanikiwa kumtorosha Luteni-Kanali Jamputi Shazfal na kwenda kumficha sehemu aliyohisi ni salama ili kumlinda asidhulumiwe uhai wake. Hata hivyo muda mchache tu tangu amfiche kisha naye kuondoka, madhalimu wanagundua ficho hilo na kumtendea dhuluma Luteni-Kanali Jamputi. Familia ya Luteni-Kanali Jamputi inajua muuaji ni Meja Nyange. Ili kujisafisha na kuithibitishia familia ya marehemu kuwa hajausika na mauaji hayo, Meja Nyange anajitosa kumsaka dhalimu wa uhai wa Luteni-Kanali Jamputi ili kutenda haki.