Gili na Mwita Juu Angani
Mchapishaji
Readit Books Ltd
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Gili na Mwita waliangalia anga kupitia dirishani. Mwezi wa duara uling’aa na nyota zilipendezesha anga.