Elimu Bora Yenye Malengo
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 17, 2025

TSh 2,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Mwandishi anatambua kwamba elimu ni nguzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kweli katika taifa. Hivyo anaonesha nafasi ya elimu sahihi katika kutengeneza umahiri na ubora kwenye tasnia zote za taifa. Elimu bora ndiyo chimbuko la viongozi hodari, madaktari na wahandisi wenye uwezo, walimu bora na watumishi wachapakazi wanaoweza kulipeleka taifa mbele.