M. M. MULOKOZI

BIOGRAPHY




Mukwava wa Uhehe

Mukwava wa uhehe ni Tamthiliya ya kihistoria inayoangazia matukio muhimu ndani ya himaya ya Mukwavinyika wa Uhehe katika kipindi cha uvamizi wa Wajerumani, katika ardhi ya Tanganyika kati ya mwaka 1891 – 1898.


  • Published : March 20, 2022

Ngome ya Mianzi

“Fikirini wenyewe jinsi gani mnaweza kuitumia silaha hiyo kujihami. Leo lazima Mianzi ya chuma ya watoka mbali ipambane na mianzi yetu ya asili


  • Published : March 22, 2022

Ngoma ya Mianzi

Mbumi na Chulu wanasimama kidete katika harakati za kuikomboa jamii yao dhidi ya utawala  katili wa Wajerumani. Licha ya udogo wa umri wao, vijana hawa wanaleta mabadiliko yasiyomithilika. Visa, mikasa na changamoto zinatawala safari yao. watafanikiwa?


  • Published : January 5, 2023

Malenga wa Bara

Mwanzoni mwa miaka ya 1970 palitokea mgogoro wa ushairi nchini Tanzania na Kenya. Makundi mawili, yaliyoitwa “wanamapokeo” na “wanausasa”, yalibishana magazetini, vitabuni na kwenye..


  • Published : January 5, 2023

Moto wa Mianzi

Riwaya ya Moto wa Mianzi inahusu matukio yaliyofuatia kutekwa kwa Ngome ya Kalenga mwaka 1894. Mutwa Mukwava alikimbilia Kilolo. Mugoha Muhanzala...


  • Published : January 5, 2023


No award found

Ask M. M. Mulokozi anything

Contact Form