
Mfadhili
MFADHILI ni riwaya inayoswawiri juu ya penzi zito baina ya watu wawili, Gaddi Bullah na Dania eobald ambalo linapitia katika misukosuko na mitihani mikubwa.
|
|
Mdunguaji
Wapiganaji kumi, wakiwemo watanzania watatu, wanaounda kikosi maalumu cha jeshi la umoja wa mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejifich katika msitu waliokuwamo.
|
|
Mkimbizi
Mwanadada Tigga Mumba anaingia kwenye msukosuko mkubwa maishani, pale anaposhuhudia mauaji ya kutisha akiwa msituni akishiriki utafiti wa mambo ya kale. Maisha yanambadilikia pale anapojikuta akishutumiwa kuwa ni yeye ndiye aliyefanya mauaji yale bila kujitambua, kutokana na maradhi ya akili. Paramond Schizophremia!
|
|
|
Mtafiti
Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu yoyote ya kumshitua mrembo Zay, mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika azingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusisha moja kwa moja kibaya cha mtafiti Grayson Mochiwa.
|
|
|
|
|
|
No award found
Ask Hussein Tuwa anything
No questions, Be the first to ask Hussein Tuwa
Contact Form