
Harusi
Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
|
|
Joka la Mdimu
RIWAYA hii inasawiri kisa cha mvuta kwama aliyepora pesa benki ili kumpeleka mwanaye kutibiwa Ulaya.
|
|
No award found
Ask Abdallah Saffari anything
No questions, Be the first to ask Abdallah Saffari
Contact Form