
Tegua Vitendawili kwa Picha
Publisher
E & D Vision Publishing
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Ndani ya kitabu hiki kuna mkusanyiko wa vitendawili 60. Vitendawili hivi vimechaguliwa kwa umakini ili kuwa chemsha bongo na kichocheo cha lugha kwa watoto wa darasa la tatu na la nne