Tahakiki Kidato cha Tatu na Nne
Publisher
Ape Network
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 18, 2025

TSh 1,400/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Ni azma yetu kutengeneza vitabu vinavyoweza kuchochea wanafunzi kuipenda elimu na vinavyoweza kuleta uelimishaji rahisi na wenye manufaa kwa wasomaji na jamii zao. Ili kufanikisha haya tunazingatia kanuni za uandishi bora ambazo ni pamoja na kujisahihisha kwa muda mrefu katika lugha, mantiki, mifano na mtiririko wa mada. Mafanikio yetu ni kuwaona wanafunzi na wasomaji wa kazi zetu wakijifunza na kupata maarifa kwa wepesi huku wakifurahia elimu na maarifa hayo. Kwa kuzingatia misingi na kanuni hizi katika uandishi, tunaamini kuwa tutaifanya elimu ipendeke na kuonekana kuwa rafiki wa kutafutwa na wala si changamoto ya kupambana nayo. Kazi hii ni mfano wa uandishi unaomjali mwanafunzi na kumfundisha hatua kwa hatua huku ukimburudisha na kumhakikishia ufaulu katika mitihani yake ya mwisho

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review