Mandari Katika Udzungwa
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Darasa la Nne wanaamua kuwa na mandari katika Hifadhi ya Udzungwa. Ilikuwa siku nzuri sana lakini ilikuwa siku ya mashaka vilevile. Je, waliona nini na walipata mashaka gani?