
Mukwava wa Uhehe
Mukwava wa uhehe ni Tamthiliya ya kihistoria inayoangazia matukio muhimu ndani ya himaya ya Mukwavinyika wa Uhehe katika kipindi cha uvamizi wa Wajerumani, katika ardhi ya Tanganyika kati ya mwaka 1891 – 1898.
|
|
Ngome ya Mianzi
“Fikirini wenyewe jinsi gani mnaweza kuitumia silaha hiyo kujihami. Leo lazima Mianzi ya chuma ya watoka mbali ipambane na mianzi yetu ya asili
|
|
Ngoma ya Mianzi
Mbumi na Chulu wanasimama kidete katika harakati za kuikomboa jamii yao dhidi ya utawala katili wa Wajerumani. Licha ya udogo wa umri wao, vijana hawa wanaleta mabadiliko yasiyomithilika. Visa, mikasa na changamoto zinatawala safari yao. watafanikiwa?
|
|
Malenga wa Bara
Mwanzoni mwa miaka ya 1970 palitokea mgogoro wa ushairi nchini Tanzania na Kenya. Makundi mawili, yaliyoitwa “wanamapokeo” na “wanausasa”, yalibishana magazetini, vitabuni na kwenye..
|
|
Moto wa Mianzi
Riwaya ya Moto wa Mianzi inahusu matukio yaliyofuatia kutekwa kwa Ngome ya Kalenga mwaka 1894. Mutwa Mukwava alikimbilia Kilolo. Mugoha Muhanzala...
|
|
No award found
Ask M. M. Mulokozi anything
No questions, Be the first to ask M. M. Mulokozi
Contact Form