
Tumaini
Mchapishaji
Lantern-E-Books
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
hadithi maalumu kama hidaya kwa watoto wote wenye mahitaji maalumu ya kujifunza, baada ya kufanya kazi katika Kitengo cha Elimu Mjumuisho na Stadi za Maisha. Kukutana mara kwa mara na wanafunzi wenye ulemavu wa aina mbalimbali, kumenisukuma kuandika juu ya watoto hao ili kuhakikisha hakuna mtoto anayeachwa nyuma katika kupata haki sawa ya kielimu kwa vile kila mtoto ana haki ya kupata elimu.