
Tenzi za Marudi Mema na Omar Khayyam
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Utungo huu umejaa tunu na mafunzo kwa jamii ukisawiri muelekeo wa jamii kwa kutoa miongozo itakayotumika kama reli za maisha ya kila siku. Marudi si marudi tu, bali yapaswa kuwa marudi mema yatakayokuwa msaada kwa jamii. Ungana na mtunzi ili kufaidi kazi hii yenye msisimko wa pekee unaoambatana na elimu adimu za jamii.