Tabu wa Taire
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Tabu ni mvivu na mkaidi. Hapendi kusaidia kazi za nyumbani. Anacheza mbali na nyumbani na anakutana na mtu wa ajabu anayemfungia ndani ya ngoma. Yule mpiga ngoma anazunguka katika miji ya mbali akitumbuiza. Je, Tabu ataokolewa?