Sokwe Aliyevaa Miwani
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Sokwe mdogo alikuwa mwoga kuteremka na kupanda vilima. Wakati mama na kaka yake wakienda mtoni bondeni kula na kuoga, yeye aliachwa nyumbani. Akihitaji kuoga hubebwa kwenda mtoni. Siku moja Simba alimkuta akiwa nyumbani peke yake. Je, simba atamwacha salama?