Shajara ya Mwana Mzizima
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya watu mashuhuri na matukio muhimu katika kudai Uhuru wa Tanganyika na miaka 15 ya kwanza baada ya Uhuru. Katika kitabu hiki cha kwanza tutazama mchango wa waasisi, na Taasisi muhimu.