Safari ya Mpambanaji
Publisher
Heko Publishers
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 17, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Naomba nikuambie maneno haya“ Shida huzaa fursa katika maisha yako, pasipo na shida hakuna fursa. Mfano palipo na njaa hutoa fursa watu kuuza chakula. Pia wapo watumishi wenzangu wengi wanaoishi kwenye Magereza ya manyanyaso, Rushwa, hujuma na Nk, kubwa Nikutie moyo usirudi nyuma jitahidi kutafuta ufumbuzi kwa kutafakari kwa kina. Pia tuwe wabunifu katika kutafuta kipato cha ziada”Wewe ambao umeajiliwa au umejiajiri basi ione iyo kazi uliyonayo kama mlango wa kufungua fursa nyingine ya mafanikio katika maisha yako. Lengo la kitabu hiki ni kutengeneza fikra mpya kwa wasomaji ambao wanapoteza muda mwingi na fedha zao kufanya kazi kama watumwa huku wakiwa hawafurahii kile walicho kisomea.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review