
Pendo Pevu
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Matumaini ya wazazi wa kijana Vitto yanazimika ghafla mithili ya kibatari kilichopulizwa na upepo mkali. Haya yanajiri baada ya kijana wao, Vitto, kubadili uamuzi wake kuhusiana na kumuoa binti aliyechaguliwa na wazazi wake.