
Mwalimu Rose
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Ambrose Mghanga amefanikiwa kuichora jamii katika kurasa na kuipa fursa ya kujitazama katika riwaya yake hii. Changamoto za ndoa na usaliti zimeakisiwa kisanaa na kutoa funzo kwa wanajamii juu ya masuala haya mtambuka yanayotukabili.