Mboga Dagaa... Kuku Hamu!
Mchapishaji
Lantern-E-Books
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 17, 2025

TSh 1,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Alipopata kazi baada ya kuishi ndani ya ukata kwa muda mrefu, Said alianza kuishi maisha yale roho yake inataka. Maisha ya kwenda u-sasa badala ya u-sasa kwenda na wewe. Maisha ya kutumia zaidi kuingiza kidogo. Maisha haya yalimtii, marafiki wakaongeza na sifa zake mitaani zikawa kubwa. Aliimbwa na kila mtu, akajiona yeye ndiyo yeye wengine mafisi. Akasahau kwamba mboga za wasiojiwezaa ni dagaa, kuku huliwa kwa hamu. MBOGA DAGAA… Kuku Hamu ni hadithi iliyotolewa chini ya mradi wa Kitabu Kila Mahali uliodhamria kurejesha ari ya usomaji wa vitabu nchini. Mradi unaochapisha hadithi murua zilizo katika vitabu vidogo vya bei nafuu ambavyo ni rahisi kusomwa na kubebwa mahali popote.