
Chungu Tamu
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
CHUNGU TAMU ni mashairi yanayouimulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo ambayo mwandishi anaamini kuwa iwapo yatazingatiwa, wananchi wataondokana na uchungu na kuonja utamu ambai malengo yao na ya viongozi waaminifu.